Translate

Friday, December 7, 2012

picha za ajali ya Mbeya

stendi  ya dala dala ya njia panda  ya Itende,kalobe ambapo dala dala inaonekana ikisimama  huku sentimenta chache gari nyingine zikipita katika eneo hilo ambalo ni muda mfupi tu zimegongwa dala dala mbili na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine 10 kujeruhiwa,wananchi wanailalamikia stendi hiyo kuwepo  jirani na barabara kuu ya Mbeya/Zambia jambo linalosababisha kutokea kwa  ajali mara kwa mara

siyo paa la nyumba ni  basi dogo la abiria

Bora salama kwa pembeni

hiace Bora salama kwa mbele

hiace kubwa iliyoandikwa bora salama kwa ndani

lori kwa mbele

lori likionekana kwa nyuma baada ya kusimama  katika eneo la Iyunga  umbali wa nusu kilomita baada ya kusababisha ajali


lori liliumia kidogo

Leyland DAF likiwa limesimama  baada ya ajali huku askari wa usalama barabarani akiendelea na ukaguzi

shuhuda wa mwanzo mwisho wa ajali kibopile akionesha alipokuwa amekaa katika kiti chake

wananchi wakishuhudia ajali hiyo
kiti cha mbele cha abiria katika hiace ndogo kikionekana kilivyotapakaa damu

hiace ndogo pichani

picha hiace ndogo

nyaya zinazodaiwa za mfumo wa breki zilizokatika katika lori

Hiace ndogo

picha inaonesha gari la mizigo liliposimama (halipo pichani) baada ya kugonga dala dala mbili maeneo ya njia panda ya Itende,kalobe kama inavyoonekana kwa mbali katika mwinuko  na kusababisha vifo vya watu wawili na 10 kujeruhiwa vibaya (Picha zote na Thompson Mpanji,Mbeya)

No comments:

Post a Comment