Translate

Saturday, January 19, 2013

KIKAO CHA DHARULA MBEYA PRESS CLUB KINATEGEMEA MAAMUZI YA "MEMBERS POWER"

Nawasalimu wapendwa wote katika jukwaa hili,Tunaingia ndani ya nyumba katika ghorofa hili la Mbeya Peak Hotel kujadili  afya ya klabu yetu,tunaingia tukiwa na shahuku kubwa ya kuendelea kuiweka Mbeya Press Club yetu katika mstari ule ule wa klabu kongwe,strong yenye mwelekeo mzuri wa kuigwa,kitakachojiri humu ndani kuhusu maamuzi ya "MEMBERS POWER,"baada ya takribani masaa kama sita kutokana na unyeti wa ajenda zenyewe tutawajuza,mwenyezi mungu atujalie hekima,busara,uvumilivu na kuwa na moyo wa subira katika yote,Amina!.

Thompson Mpanji.

No comments:

Post a Comment