Translate

Friday, January 31, 2014

Mmachinga mbaroni kwa kumbaka ng'ombe

Na Thompson Mpanji
 
KIJANA mmoja mfanyabiashara ndogo ndogo almaarufu Machinga,mkazi wa Ntokela,Wilaya ya Rungwe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika kituo kidogo cha polisi Kiwira  leo kwa tuhuma za kumwingilia mnyama aina ya ng'ombe  usiku wa kuamkia leo kinyume na maumbile akidai ni masharti aliyopewa na mganga wa jadi kuwa atakuwa tajiri kwa kupata fedha nyingi.
Mtuhumiwa  amepelekwa na ng'ombe kituoni kwa hatua zaidi,taarifa zaidi utaendelea kuipata kupitia blog hii.

No comments:

Post a Comment